WAZIRI UMMY AWASILISHA TAARIFA YA MIRADI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA , BAISHARA NA MAZINGIRA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo. Akizungumza mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo alisema Serikali itasambaza Mwongozo wa usafishaji mito kwa kuondoa